Mbuga la kuifadhi wa nyama la Kahuzi Biega imesherekea miaka arubaini n’a tisa tangu kuundwa kwake , tarehe thelasini Novemba mwaka wa elfu moja Mia kenda makumi saba.Sherehe ziliendeshwa pa Tchivanga wilayani Kabare.
Kiongozi wa Mbuga hii De Dieu Byaombe anajulisha kuwa wataendelea kutumika kwa ubora Ama faida ya Mbuga hii.Tutaendelea kutumika katika lengo ya kuboresha kazi, n’a yote ni kwa faida ya raiya wa kongomani kwa upekee n’a dunia nzima kwa jumla.
Kwa fursa hiyo vitoto ine vya ngila vilipewa jina tukitaja Deschryver ,moja na Wilungula vya jamaa Bonané n’a Cimanuka ya jamaa Ushiriki.
Liwali makamu wa Jimbo la Kivu ya kusiniMarc Malago anaahidi Msaada ya serkali ya Jimbo ili mbuga lakuifadhi wa nyama la Kahuzi Biega lifikilie lengo ikiwa ukingo wa mazingira.